Membe: Wazazi wa Benjamin Mkapa walitaka mtoto wao awe Padri kama wazazi wangu walivyotaka mimi niwe lakini yalitushinda!

Membe: Wazazi wa Benjamin Mkapa walitaka mtoto wao awe Padri kama wazazi wangu walivyotaka mimi niwe lakini yalitushinda!

Hata huyu wa sasa nae anasema alitaka kuwa Padri ila yakamshinda akavunja dirisha na kutoroka seminari

IGP Sirro nae alikua huko huko kaishia kuwa Polis

Dr Slaa alijaribu kaja kupata mchumba uzeeni🤣🤣

Upadri inaonekana sio kazi ndogo

Umemsahau General Mabeyo[emoji28][emoji28]
 
Hivi neno padri huwa linamanisha nini, maana nikiangalia kwenye Biblia yote silioni.

JESUS IS LORD.
Katika bible hatuma ofisi ya upari. Hizi ni aina ya huduma za masaidizi katika kujenga mwili wa kristo, ila ndani ya ma padri wapo walio na huduma ndani yao ( huduma za kristo ).
 
Na yeye alitaka kuwa Padri???

Akaishia kuwa mtu wa Intelegensia kweli maisha yanaenda kasi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Yah
Wakati anajiandaa kwenda Seminary Kuu
Akaenda vitani( 1978)
Baada ya hapo hakurudi tena[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sio
Hivi neno padri huwa linamanisha nini, maana nikiangalia kwenye Biblia yote silioni.

JESUS IS LORD.
biblical Moja kwa moja, Asili yake limetokana na neno pater Likiwa na maana from Spanish ndio likawa Padre, na kitaliano Padres, Likiwa na maana Father. Hii Dini yetu ndo changamoto yake, So watu nao wanatia maneno yao.
Nilipenda sana Muslim kuacha Lugha yao ya asili kwenye Imani yao, Imewapunguzia Mgawanyiko(Maana unaielewa kwa usahihi wake toka waandishi wa awali).
 
Mapadri huwa Wanatafuna MaSister kinoma noma
 
Mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo mh Bernad Membe amesema wazazi wa hayati Ben Mkapa walitaka mtoto wao awe padri kama wazazi wake yeye walivyotaka Membe awe padri.

Membe amesema Ben Mkapa alikuwa mtu wa dini sana na alilipenda Kanisa licha ya kuwa anatumika siasani.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Basi sawa
 
Sio

biblical Moja kwa moja, Asili yake limetokana na neno pater Likiwa na maana from Spanish ndio likawa Padre, na kitaliano Padres, Likiwa na maana Father. Hii Dini yetu ndo changamoto yake, So watu nao wanatia maneno yao.
Nilipenda sana Muslim kuacha Lugha yao ya asili kwenye Imani yao, Imewapunguzia Mgawanyiko(Maana unaielewa kwa usahihi wake toka waandishi wa awali).
Inahitaji kuchimba haswaa
 
Back
Top Bottom