Membe: Wazazi wa Benjamin Mkapa walitaka mtoto wao awe Padri kama wazazi wangu walivyotaka mimi niwe lakini yalitushinda!

Padre ni neno la Kilatini likimaanisha father kwa Kiingereza na Baba kwa kiswahili. Mkuu unaonekana mtu mwenye uelewa mdogo Sana wa Mambo. Siku nyingine pita kwanza Google kabla ya ku comment.
Kwa hiyo ni sahihi nikamwita mzazi wangu wa kiume 'Padri', bila kujali anafanya kazi gani.??
 
Mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo mh Bernad Membe amesema wazazi wa hayati Ben Mkapa walitaka mtoto wao awe padri kama wazazi wake yeye walivyotaka Membe awe padri.

Membe amesema Ben Mkapa alikuwa mtu wa dini sana na alilipenda Kanisa licha ya kuwa anatumika siasani.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hata mimi Upadri ulinishinda kwa kweli maana Baba Paroko alikuwa kaning'ang'ania mno niandaliwe kuwa Padri nikachomoa
 
Kwa hiyo ni sahihi nikamwita mzazi wangu wa kiume 'Padri', bila kujali anafanya kazi gani.??
Usahihi wake unategemea uelewa na utayari wako kumuita baba yako kwa kutumia lugha isiyo rasmi katika familia yenu. Imagine ungekuwa Muitaliano, ungemuitaje mzazi wako wa kiume?
 
Mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo mh Bernad Membe amesema wazazi wa hayati Ben Mkapa walitaka mtoto wao awe padri kama wazazi wake yeye walivyotaka Membe awe padri.

Membe amesema Ben Mkapa alikuwa mtu wa dini sana na alilipenda Kanisa licha ya kuwa anatumika siasani.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Ingawa mie sikuwahi "kuielewa" sana ile "mipete" aliyokuwa anavaa BWM kila mkono. JPM simuoni akivaa. JK nae halikuwa nayo.....

Ni kinga, dawa ama urembo tu?

RIP BWM
 
Mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo mh Bernad Membe amesema wazazi wa hayati Ben Mkapa walitaka mtoto wao awe padri kama wazazi wake yeye walivyotaka Membe awe padri.

Membe amesema Ben Mkapa alikuwa mtu wa dini sana na alilipenda Kanisa licha ya kuwa anatumika siasani.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
TOFAUTI YAKO NA MKAPA WEWE HUFAI KUWA RAIS
 
Hata huyu wa sasa nae anasema alitaka kuwa Padri ila yakamshinda akavunja dirisha na kutoroka seminari

IGP Sirro nae alikua huko huko kaishia kuwa Polis

Dr Slaa alijaribu kaja kupata mchumba uzeeni🤣🤣

Upadri inaonekana sio kazi ndogo

We acha tu

Una silaha kwenye suruali ila hauitumii ...si habari ndogo
 
Back
Top Bottom