johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hiyo fani inahitaji kujitoa. Dedication ya kiwango cha juu. Ukiwa na roho nyepesi hutovuka. Ni NgumuHata huyu wa sasa nae anasema alitaka kuwa Padri ila yakamshinda akavunja dirisha na kutoroka seminari
IGP Sirro nae alikua huko huko kaishia kuwa Polis
Dr Slaa alijaribu kaja kupata mchumba uzeeni[emoji1787][emoji1787]
Upadri inaonekana sio kazi ndogo
🤣🤣🤣Mcha Mungu....hakika Taifa limepoteza mtu muhimu sana
Mavuno ni mengi wavunaji wachache!Kufanya kazi ya upadri ni matamanio ya walio wengi ila wachache ndio wanafanikiwa kuingia katika daraja hilo takatifu maana kunguru hafugiki
Wapemba watauliza alikuwa mcha mungu gani, maana Lucifer naye ni mungu wa mashetani
Taifa limepoteza mtu aliye teketeza wazanzibar mwaka 2001 January 27
Hivi na huyu naye anabwabwaja Nini! Ili tuone kama anakaufanano na Nkapa eeh!Mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo mh Bernad Membe amesema wazazi wa hayati Ben Mkapa walitaka mtoto wao awe padri kama wazazi wake yeye walivyotaka Membe awe padri.
Membe amesema Ben Mkapa alikuwa mtu wa dini sana na alilipenda Kanisa licha ya kuwa anatumika siasani.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
sasa kama hao magaidi wa kipemba walizingua ulitaka awakenulie?Taifa limepoteza mtu aliye teketeza wazanzibar mwaka 2001 January 27
Hivi neno padri huwa linamanisha nini, maana nikiangalia kwenye Biblia yote silioni.
JESUS IS LORD.
sasa kama hao magaidi wa kipemba walizingua ulitaka awakenulie?
mimi na privatus karugendo tulifukuzwa
Hahahaaaa.......!Hhahahahahhaa Mkuu ungesema tu we we na mwenzio mlifukuzwa.
Haya tuambie sasa kwa nini mlifukuzwa!!
Padre ni neno la Kilatini likimaanisha father kwa Kiingereza na Baba kwa kiswahili. Mkuu unaonekana mtu mwenye uelewa mdogo Sana wa Mambo. Siku nyingine pita kwanza Google kabla ya ku comment.Hivi neno padri huwa linamanisha nini, maana nikiangalia kwenye Biblia yote silioni.
JESUS IS LORD.