Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Penda kujifunza lugha mbalimbali utelewa maana yake.Anza na "Kingoni" cha Ureno halafu malizia na kifipa.Hivi neno padri huwa linamanisha nini, maana nikiangalia kwenye Biblia yote silioni.
JESUS IS LORD.
Khuthuthaan nyakati hidhi dha kuelekea kwene uchagudhi... thijui nani atathaidia safari hii kufanza uchafudhi...
Kwa hiyo ni sahihi nikamwita mzazi wangu wa kiume 'Padri', bila kujali anafanya kazi gani.??Padre ni neno la Kilatini likimaanisha father kwa Kiingereza na Baba kwa kiswahili. Mkuu unaonekana mtu mwenye uelewa mdogo Sana wa Mambo. Siku nyingine pita kwanza Google kabla ya ku comment.
Hata mimi Upadri ulinishinda kwa kweli maana Baba Paroko alikuwa kaning'ang'ania mno niandaliwe kuwa Padri nikachomoaMgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo mh Bernad Membe amesema wazazi wa hayati Ben Mkapa walitaka mtoto wao awe padri kama wazazi wake yeye walivyotaka Membe awe padri.
Membe amesema Ben Mkapa alikuwa mtu wa dini sana na alilipenda Kanisa licha ya kuwa anatumika siasani.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Usahihi wake unategemea uelewa na utayari wako kumuita baba yako kwa kutumia lugha isiyo rasmi katika familia yenu. Imagine ungekuwa Muitaliano, ungemuitaje mzazi wako wa kiume?Kwa hiyo ni sahihi nikamwita mzazi wangu wa kiume 'Padri', bila kujali anafanya kazi gani.??
kwa hiyo 'padre' ni lugha isiyo rasmi!?Usahihi wake unategemea uelewa na utayari wako kumuita baba yako kwa kutumia lugha isiyo rasmi katika familia yenu. Imagine ungekuwa Muitaliano, ungemuitaje mzazi wako wa kiume?
Biblia imekuwa dictionary siku hizi??Hivi neno padri huwa linamanisha nini, maana nikiangalia kwenye Biblia yote silioni.
JESUS IS LORD.
Sio rasmi katika familia yako. Lakini kwa Kanisa Katoliki na jamii zinazozungumza lugha zenye asili ya latini, neno Padre ni rasmi.kwa hiyo 'padre' ni lugha isiyo rasmi!?
Ulitaka awachekee tu kwa sababu ni wazanzibari/wenzakoTaifa limepoteza mtu aliye teketeza wazanzibar mwaka 2001 January 27
Hivi neno padri huwa linamanisha nini, maana nikiangalia kwenye Biblia yote silioni.
JESUS IS LORD.
Hata Mimi upadri ilinishinda pale NAMUPA SEMINARY
Ingawa mie sikuwahi "kuielewa" sana ile "mipete" aliyokuwa anavaa BWM kila mkono. JPM simuoni akivaa. JK nae halikuwa nayo.....Mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo mh Bernad Membe amesema wazazi wa hayati Ben Mkapa walitaka mtoto wao awe padri kama wazazi wake yeye walivyotaka Membe awe padri.
Membe amesema Ben Mkapa alikuwa mtu wa dini sana na alilipenda Kanisa licha ya kuwa anatumika siasani.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Huwezi jua yupo wapi sasa hivi kwa stahiki ya matendo yake!!Mcha Mungu....hakika Taifa limepoteza mtu muhimu sana
Hakuna sehemu niliyoandika yuko.. muwe mnasoma kwa makini mnaelewa nyie vichwa maji😕😕😕😕Huwezi jua yupo wapi sasa hivi kwa stahiki ya matendo yake!!
Hakika lazima mngefukuzwa maana huyo jamaa uliyemtaja alikuwa mvuta bangi. Kwanza yuko wapi sikuhizi?Mimi na Privatus Karugendo tulifukuzwa
TOFAUTI YAKO NA MKAPA WEWE HUFAI KUWA RAISMgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo mh Bernad Membe amesema wazazi wa hayati Ben Mkapa walitaka mtoto wao awe padri kama wazazi wake yeye walivyotaka Membe awe padri.
Membe amesema Ben Mkapa alikuwa mtu wa dini sana na alilipenda Kanisa licha ya kuwa anatumika siasani.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hata huyu wa sasa nae anasema alitaka kuwa Padri ila yakamshinda akavunja dirisha na kutoroka seminari
IGP Sirro nae alikua huko huko kaishia kuwa Polis
Dr Slaa alijaribu kaja kupata mchumba uzeeni🤣🤣
Upadri inaonekana sio kazi ndogo