Member gani JF amekuwa chawa kupitiliza, kwa mtu au kitu 2023?

Alwaz Ritz Malaria 2
 
Harafu Erythrocyte atakwambia yeye sio chawa wakati ni chawa mwandamizi 😁😁
 
Nashukuru Wana jf wametambua kwamba Mimi sio chawa ila ni mpenda maendelea.

Kwenye upuuzi nitakutoa knockout na kwenye jambo zuri Niko tayari kulitetwa 24hrs.
 
ChawaWaMama
chawa wa mama
 
Harafu Erythrocyte atakwambia yeye sio chawa wakati ni chawa mwandamizi 😁😁
Nimefafanua sana humu kuhusu hili jambo , Wajinga wenzako wote wameelewa , sasa labda nikueleweshe wewe kichwa panzi ili ujue , Hakuna chawa Tajiri , mimi si kapuku , ni mchangiaji mkubwa wa harakati za Chadema , ni mfuasi wa Chadema , si mfuasi wa Mbowe au yeyote , angalia enzi za Dr Slaa , tulimuandika alipokuwa Chadema , aliponunuliwa tukampiga chini , kwahiyo kuniita chawa ni ama kuwafurahisha wanaokulipa au umeamua kujitoa akili tu , hakuna chawa anayekilipa chama chake mamilioni ya hela , hao chawa wenu akina Mwashambwa na Mwijaku hao wanalipwa na ccm , hawana hela ya kuilipa ccm.

Mimi nimeanzia siasa nikiwa London , tulikutana na Freeman tukiwa kama Diaspora , kwahiyo hatufanyi siasa za njaa , tunafanya siasa za kujitolea ili kusaidia hawa masikini wa Tanzania wanaokamuliwa hadi damu .

Mimi ninamiliki kiwanda kwa ajili ya export tu , tena nauza USA , CANADA , ENGLAND na SOUTH AFRICA , najivunia kuajiri watanzania zaidi ya 300 , mtu kama mimi ukiniita chawa utakuwa ama huna akili au umelogwa .

Ni kweli kwamba napigania chadema , lakini sipiganii watu binafsi , mimi ni tofauti na nyie wa ccm , watetezi wa Magufuli si watetezi wa Samia , mkikutana mnalogana ila eti wote ni ccm , kuna uzi humu umedai wewe utashughulikiwa kuanzia january 2024 , lakini aliyepanga kukushambulia ni mwanaccm mwenzio , nyie ndio mnagombania uchawa siyo sisi .

Hatufanyi siasa za kujikimu , Nadhani kwa haya machache angalau utapata mwanga kuhusu erythrocyte , kama umeelewa waambie na wenzako
 
Dah kweli Lucas mwashambwa kapitioiza aisee, yeye kila siku ni kusifia tu.
Hahahahaha huyo Lucas mitishamba alifikia kiwango cha kumuona Samia akibubwajikwa na machozi na huzuni mkubwa kipindi cha maporomoko ya Hanang akaone ampe pole πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uchawa hauna uhusiano na kipato.
 
Yani huyo Lucas nina hakika muda huu ana andaa uzi wa kumpa pole Rais kutokana na uchovu wa sikukuu na kuwapigania watanzania kipindi cha sikukuu….πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi nimeanzia siasa nikiwa London , tulikutana na Freeman tukiwa kama Diaspora , kwahiyo hatufanyi siasa za njaa , tunafanya siasa za kujitolea ili kusaidia hawa masikini wa Tanzania wanaokamuliwa hadi damu .


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…