Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahatisha na wewealibahatisha ni bahati nasibu tu
Kama alitabiri na ikatokea inamaana alikuwa ni sehemu ya huo mpango baada ya kufanikisha nayeye wakamuwahi ili asivujishe siri. Muosha huoshwa
Watu wanasema ndio huyohuyoNa yule mtabiri wa ajali ya ndege ni nani?
Mimi natabiri viongozi wote watakufa na sisi wote tutakufa.Tunae mwenzetu siku hizi sijui kapotelea wapi, anaitwa “Tumia akili”
Jamaa alitabiri kifo cha kiongozi fulani wa juu, na kweli ikatokea.
Mpaka leo najiuliza ni namna gani baadhi ya wanadamu wenzetu walivyo na uwezo usio wa kawaida!
Sasa mbona huyu tumia akili hajatabiri kifo ila huyu wa mada hii anazungumzia kifo?Mbona hata ID yake haipo tena..? Cleanup ilihusisha na JF nini ?
...... update......
.....Uzi upo ...
Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku
Wakuu, Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake. August ya mwaka 1974, Rais Richard...www.jamiiforums.com
Ila Jamaa haja login baada ya june 15 mwaka jana
Pengine na yeye kafariki! Hakuna wa kuishi milele!Tunae mwenzetu siku hizi sijui kapotelea wapi, anaitwa “Tumia akili”
Jamaa alitabiri kifo cha kiongozi fulani wa juu, na kweli ikatokea.
Mpaka leo najiuliza ni namna gani baadhi ya wanadamu wenzetu walivyo na uwezo usio wa kawaida!
Sasa mbona huyu tumia akili hajatabiri kifo ila huyu wa mada hii anazungumzia kifo?
Natabiri yule demu wako anayekupa jeuri ya kunidharau atakufa siku ya krismasi.Alisema hicho kifo kitatokea lini?
Mana n sawa na Mm leo niandike mada nikisema kuna kiongozi atakufa bila kutaja jina lake, tarehe ya tukio wala kutaja jambo lolote litakaloonyesha mhusika afu ikitokea kweli ety mje mseme nilitabiri, sasa huo ni upungufu wa akili.
98% alitabiri ukweliMbona hata ID yake haipo tena..? Cleanup ilihusisha na JF nini ?
...... update......
.....Uzi upo ...
Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku
Wakuu, Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake. August ya mwaka 1974, Rais Richard...www.jamiiforums.com
Ila Jamaa haja login baada ya june 15 mwaka jana
Sasa mbona huu utabiri utakurudia ww mwnyw mana ww ndie mpenzi wangu uliyebakiaNatabiri yule demu wako anayekupa jeuri ya kunidharau atakufa siku ya krismasi.
Ni bora afe ili urejeshe mapenzi kwangu