Member wa JF “Tumia Akili” alitabiri kifo cha kiongozi fulani wa juu na kikatokeaa kweli. Mpaka leo naendelea kushangaa!!

Member wa JF “Tumia Akili” alitabiri kifo cha kiongozi fulani wa juu na kikatokeaa kweli. Mpaka leo naendelea kushangaa!!

Kuna mwamba mmoja anaitwa mzizi mkavu alitabili kifo cha hakimu fulani na kweli huyo hakimu akafa.
Sema mzizi mkavu hata mimi pia namuogopa tuuu...

Wee assume anakwambia hivi
""Huo ugonjwa hauna dawa ila niachie mimi""

Weee assume tu jamaa kila ugonjwa anasema anatibu...
Jamaa haijalishi unaumwa nn ila anasema dawa ipo na anayo yeye
 
Bado lipo hilo bwege, kuna siku lilikuja kujisifia humu...

Nafikiri sasa hivi yanakula kuku kwa mrija baada ya mpango kukamilika.
Una accounyake ya JF nimtumie muamala aongeze kuku na bia zaidi?
 
Uongo.vifo vitaendelea kuwepo Kwa watu wote.Kwani mnafikiri hao viongozi wakubwa kufariki kwao Hadi watabiriwe?kama kweli ni mtabiri basi atabiri siku,muda,tarehe na mwaka husika Kwa anayemtabiria kufariki.
 
Sure kila kitu hakitokei kwa bahat,mbaya kila kitu kinakuwa well planned.
 
Back
Top Bottom