Member waliopotea JF

Member waliopotea JF

kuna mtawala fulani tangu aliposhika madaraka, baadhi ya wachangia mijadala jf wakaamua kuchukua ustaarabu wa kukaa kimya.

jeuri na ukatili wa mtawala yule kwa kiasi fulani imechangia kujaza hofu na kukatisha tamaa baadhi yetu mpaka tukaamua kuzisusa ID zetu pendwa za zamani.

mtawala yule hana jema, umsifie haisaidii, umkosoe pia haisaidii maana hapendi kukosolewa, sana sana utaishia kupewa kesi ya uhujumu uchumi.

mimi pia ni mmoja ya watu ambao ID yangu maarufu ya tangu mwaka 2010, niliisusa mwaka 2018, miaka mitatu tu baada ya mtawale yule kuingia madarakani.

inshallah siku Mungu akimpenda mtawala yule au vyovyote vile itakavyokuwa, nitaerejea jf kwa ID yangu ileile maarufu ya zamani.
 
kuna mwamba anaitwa Ukwaju. tangu jukwaa la chini kufutwa na yeye akapotea... 😂 am not sure lkn, maana siingiagi mara kwa mara humu ndani... kama upo active mkuu 🙌😄
 
kimwery lile Jukwaa pendwa litarudi tu Mkuu na mie mara nyingi naonekana kwenye majukwaa ya Vituko mitandaoni,
picha za warembo na magari
nitafute hutanikosa, mambo ya siasa mara huyu kaumwa Corona mara risasi akaa yanini kufuatwa majumbani, miaka iliyobaki ni mi4 tu mambo yatarudi shega hata na twitter
 
Tumepotea wengi kule
ze-dudu tutafutane JF kubwa na kuna machimbo mengi kuna hadithi true story
jamaa kazamia chimbo Msumbiji
mwingine uchawi Congo
mwingine sh 100 ya 1993
mwingine Durbun SA
ss bado kwenye anga zetu tunapatikana machimbo yaleyale na yatafunguliwa
 
kuna mtawala fulani tangu aliposhika madaraka, baadhi ya wachangia mijadala jf wakaamua kuchukua ustaarabu wa kukaa kimya.

jeuri na ukatili wa mtawala yule kwa kiasi fulani imechangia kujaza hofu na kukatisha tamaa baadhi yetu mpaka tukaamua kuzisusa ID zetu pendwa za zamani.

mtawala yule hana jema, umsifie haisaidii, umkosoe pia haisaidii maana hapendi kukosolewa, sana sana utaishia kupewa kesi ya uhujumu uchumi.

mimi pia ni mmoja ya watu ambao ID yangu maarufu ya tangu mwaka 2010, niliisusa mwaka 2018, miaka mitatu tu baada ya mtawale yule kuingia madarakani.

inshallah siku Mungu akimpenda mtawala yule au vyovyote vile itakavyokuwa, nitaerejea jf kwa ID yangu ileile maarufu ya zamani.
unamuogopea nini Adui yako pambana naye akiwa hai, ili aujue ulimwengu upo upande wake au mwingine, sasa mtu haingii humu anatuma watu si wakamwambie legeza watu wanaangamia kwa kukosa habari
 
Back
Top Bottom