Member waliopotea JF

Member waliopotea JF

kuna mtawala fulani tangu aliposhika madaraka, baadhi ya wachangia mijadala jf wakaamua kuchukua ustaarabu wa kukaa kimya.

jeuri na ukatili wa mtawala yule kwa kiasi fulani imechangia kujaza hofu na kukatisha tamaa baadhi yetu mpaka tukaamua kuzisusa ID zetu pendwa za zamani.

mtawala yule hana jema, umsifie haisaidii, umkosoe pia haisaidii maana hapendi kukosolewa, sana sana utaishia kupewa kesi ya uhujumu uchumi.

mimi pia ni mmoja ya watu ambao ID yangu maarufu ya tangu mwaka 2010, niliisusa mwaka 2018, miaka mitatu tu baada ya mtawale yule kuingia madarakani.

inshallah siku Mungu akimpenda mtawala yule au vyovyote vile itakavyokuwa, nitaerejea jf kwa ID yangu ileile maarufu ya zamani.

Kipenzi unaweza kurudi sasa mwendazake ashasepa njoo tule maisha[emoji1787]
 
Back
Top Bottom