Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Daby na Cocastic nao wakiyajenga vizuri wanaweza kututengenezea capo moja kabambe sana.
 
Tulia kaka mie nimekuja kuwasilisha hitaji lenu, hamtakuwa wapweke tena 😂

Ngoja waje niliowaomba wawatafutie JF Soulmate 😂😂😂
Efootball linanitosha kw sasa nikhitaji nitaleta Uzi 😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…