Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Yupo busy na october ๐Owaa niache๐๐๐nitamwita mamtu wako aje kuona anadate mshenga๐คฃ๐คฃendelea sasa๐๐
Mapenzi tu hayo kaka ingekuwa mamsosi sawaa๐๐Aisee we ndugu yangu muoga sana, unanidhalilisha ๐๐๐
Watawezana tu ๐Edo kissy na waifu material ??? Mmmh!! Ngoja tuone ๐
Ni Kijana mstaarabu nawesa kukuleteq Kiapo chake hapa chenye muhuri wa mwanasheria ๐๐๐Hadi nihakikishe kwanza kama kweli kijana ni mstaarabu๐๐
Wala yeye hataki mbegu nyingi, huo upungufu ndo anautaka ili apate muda wa kufanya mambo mengine ๐๐๐Mbegu zenywe sina kaka nina upungufu๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Razorblade coca hapa ni mtu wa 85 huyu anaunganishwa tuu๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Jamaniiiii!! Sa itakuajeee? ๐๐๐๐
Kashavuka huko hataki kukamiwa ๐๐๐Ukosefu wa hela unapelekea pre mature ejaculation ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Wanasema kijana ni mstaarabu kama mimi, nadhani tutaendana๐๐Edo kissy na waifu material ??? Mmmh!! Ngoja tuone ๐
Tulia ๐Mapenzi tu hayo kaka ingekuwa mamsosi sawaa๐๐
Yaaan!! Nishakua cha wote, au maharage ya mbeya.Razorblade coca hapa ni mtu wa 85 huyu anaunganishwa tuu๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ebu nichagulieMpaji Mungu ushachagua au nikuchagulie?
Kwishaaa! ๐Selikavu Ba tamu twenzetu, jambo lishakua leleleeee.
Mahusiano tunayo, na tunatamba nayooo.
Weraaaaaa weraaaaa!! ๐๐๐๐๐๐
Achana nao hao anza kurasa ya huba na ndugu yangu ๐Jamaniiiii!! Sa itakuajeee? ๐๐๐๐
Bila shaka mtaendana sana ๐Wanasema kijana ni mstaarabu kama mimi, nadhani tutaendana๐๐
Ahsanteee shem, nioneshe jiko niwafanyie masapta saptaa.Kwishaaa! ๐
Karibu kwenye familiya yetu shemeji.