Tenaa ntamtoa msongo wotee,Acha ujinga wewe kwani hela ndo inalomba? πππ
Sisi tunakutafutia kwa kukuondolea huo msongo wewe unaleta uwaki πππ
Ndo imeshakua hivyoo, ππππAseeeπmbona ghafla hivi π
View attachment 3454871
Hakuna cha ghafla hapa, mtafutie shemeji account muwe mnacheza mechi wenyewe πππAseeeπmbona ghafla hivi π
View attachment 3454871
Em muambie huyo nduguyo anifungulie, tucheze wotee.Hakuna cha ghafla hapa, mtafutie shemeji account muwe mnacheza mechi wenyewe πππ
Tunaimani nawe shemeji yetu.Tenaa ntamtoa msongo wotee,
Atakua mpya na kunawiri huyu ndugu yenu.
Nipo kuhakikisha anafurahia uwepo wake hapa duniani, niko kwa ajiri yake.
πππππ
Unamnzgumzia kama nani kakaπππKashavuka huko hataki kukamiwa πππ
Na hakuna wakupinga πNdo imeshakua hivyoo, ππππ
Woyoooooo!!!Kashavuka huko hataki kukamiwa πππ
πππππNa hakuna wakupinga π
Eti shemeji cocastic unapenda account yako iwe na wachezaji gani?Leo umeshinda fala wewe πππnitakukuta Angle zakoππ
Mke wa ujana wangu!!!
Taarifa ziwafikie wote kuwa jimbo tayari limepata mbunge πAririiiiiiiiiiiiiiii!!! πππππ
Hakuna shida we taja first eleven yako tu πππEm muambie huyo nduguyo anifungulie, tucheze wotee.
πππππ
Nitailinda amani yenu, nduguyo yuko sehemu salama.Tunaimani nawe shemeji yetu.
Khalas π
Mimi kama shemeji yake πππUnamnzgumzia kama nani kakaπππ
Subiriii chaap, nakiweka kikosi changu hapa.Hakuna shida we taja first eleven yako tu πππ