kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Aaah! Sawa shemeji βΊοΈπHapana hizo ni sms mbili tofautiππ
Me alikua ananiambia kuhusu tag yangu ππ
Familiya hatupingani na tunajuana vizuri πHuyu kijana inaonekana ana kitu kila mtu anasema ananifaaππ
πππloh! Hakika bahati ipo upande wanguWateja wananichnganya mpk na mix mafile i mean eddo bana..!!
Kwanza kina Eddo wote wapole watoaji pesa, jiandae kuogelea kwenye mifwedha..!!
Halafu wengi wanakuwaga wachaga sijui kwanini? πΉπΉπΉ
Wewe saidia fundi tukupe Mary ndo nyota yake ilipo kwenu wazee wa pima maji na mwiko πΉπΉπΉAah boss hela zangu za saidia fundi sitomuwezaπππ
Sema hapo kwa Edo Kissy uwakika sana tupo tunatafuta ukimbi hapa wa sherehe Edo Kissy akija tu kiwakeππ
Yule humuwezi fam we komaa na jeshi cocastic tu πMamiyakeπ€£π€£π€£
We jamaa una ufala sana πππ
Shemeji wewe wako nani naona unatafutia wenzio tuππFamiliya hatupingani na tunajuana vizuri π
πΉπΉπΉHapana ndugu yetu ni verified na huyo uliyemtaja ana mzio na hao watu π
wake ni Toyana wong π πShemeji wewe wako nani naona unatafutia wenzio tuππ
nimekuhamu πUnanitaja sana, vipi kwani? Hujamboo?
πππππ
ππanaupiga mwingiwake ni Toyana wong π π
Udugu ushakuwa kingβangβa πΉπΉNakutakaa wee!! Hao wengine sijawaona na siwajui.
Mie nishafika kwako na mabegi nishatua, kwa kifupi ndo nipo hapo kwako.
ππππππ
Etiii eeeh? ππππnimekuhamu π
Kula maisha na toto hilo wewe acha kurukaruka πMe sitaki vita kakaππwaendelee kugombania tuu me sipoππ
Uduguuu bila kuwa king'ang'a mbona utachundraaaaa!!Udugu ushakuwa kingβangβa πΉπΉ
π hakika tukimleta hapa atakuwa mpole mno, π πππanaupiga mwingi
Ewaah! Ukumbi tutatafuta wenyewe kiumeni πHarusi tunayo na tunatamba nayoooo!!!
ππππππ
NimewahiwaππDear waifu material jitokeze basi πππ