Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Sasa wee eti kina Meji walinikabidhi yeye, na mie nikampokea kwa moyo wotee.
Nshajipanga kwa maisha mapya ya mahusiano, eti yeye ana change gear hewani?
Aaaaah wee!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aaahh!! Usikubali muhimu mashemeji washakupitisha..!! 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…