Utajua mwenyewe ππSasa mke si anamlea mume, kijana acha kuleta fedheha kwenye familiya πππ
come on maSijachukuliwa bebi.
Hutaki kuambiwa babe mchina ananidai $50,000 nilipie nusu basi..!! πΉπΉπΉHana nia njema huyo, anataka mi niache kodi ya meza kwa fedha za kigeni
πΉπΉπΉ Mtoto hana kipengele usiogope..!!πππBuyer beware
Ngoja bipolar impande uone πΉπΉπΉIla hapatikaniπ€£
Hiyo hata Abduli wa kizimkaze hatoi kizembeHutaki kuambiwa babe mchina ananidai $50,000 nilipie nusu basi..!! πΉπΉπΉ
Aaah kumbe mnajua kitambo,,ila beba mzigo huo kama nafasi ipoHuyo former classmate wangu atanitoa roho ana mambo mengi sana
πΉπΉπΉHiyo hata Abduli wa kizimkaze hatoi kizembe
Wewe umepata mume mwingine?! NikusemeeeNasemaje, bi harusi kajitunza mtoto hata hajui dudu wala mende, ndio kwanza anasoma zero kilometre km gari za kampeni za wagombea urais..!!
Inshort mtoto cocastic album haijazinduliwa ila miuno anajua kukata km feni la gesti za kigogo mburahati..!! πΉπΉπΉ
ππππMjomba angu mbona fasta sana au naota πππ
Hivi kweli nimeshaolewa na The Icebreaker ? ππ
π π πNgoja bipolar impande uone πΉπΉπΉ
Nakutakaaa weweee ba tamu akee, ππππWatu 85 wapo wanakusubiri kama pepon mkuuππ
Uduguuuu em leta π€, ushalewa wee.Nasemaje, bi harusi kajitunza mtoto hata hajui dudu wala mende, ndio kwanza anasoma zero kilometre km gari za kampeni za wagombea urais..!!
Inshort mtoto cocastic album haijazinduliwa ila miuno anajua kukata km feni la gesti za kigogo mburahati..!! πΉπΉπΉ
Woyoooooooo!!!! ππππKabia hapo hapo mashem washakupa goli la wazi..!! πΉπΉπΉ
Mi nafunga sale huku tucheze vanga..!! π€£
πππππ
Kwani hujui mke ni mleziii? ππππMe nabisha muda wote najua nimepewa mke
Kumbe nimepewa mleziπ€£π€£π€£
Aya nilee tuu mtoto mie badoππ
Sitakiiiiii, πππππMe nataka niendelee kuutunzaππ