dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,965
- 13,552
Au tumuache Atulie sasa hivi atunge ngoma kwanza, watoto watamchanganya ๐Inabidi ila akijua nimemsnitch atalia sana ๐ญ๐ญ๐ญ
๐
Au tumuache Atulie sasa hivi atunge ngoma kwanza, watoto watamchanganya ๐Inabidi ila akijua nimemsnitch atalia sana ๐ญ๐ญ๐ญ
๐
Hivi ni mahali au mahari๐๐๐ Mshenga Razorblade upo wapi tupeleke mahali
inabidi iwe hivyo ๐๐๐me mpaka sasahivi Nina wake 4 JF na michepuko kibaooo ๐๐๐Au tumuache Atulie sasa hivi atunge ngoma kwanza, watoto watamchanganya ๐
๐ ni mahari shemeji, makosa madogo madogo hayo๐Hivi ni mahali au mahari๐๐
Wanataka wakupeleke mahali flani ๐๐๐Hivi ni mahali au mahari๐๐
Hadi nilishtuka sasa๐๐๐ ni mahari shemeji, makosa madogo madogo hayo๐
Wanipeleke wapi tena jamani, mi nikajua wanaleta ng'ombe jamani๐ ๐Wanataka wakupeleke mahali flani ๐๐๐
Washawishi walete ng'ombe tukafuge zetu ๐Me nikajua wanaleta ng'ombe jamani๐ ๐
Nipo hapa ndugu yangu, maandalizi ya sherehe yanaendelea usiwe na shaka ndugu ๐๐๐๐ Mshenga Razorblade upo wapi tupeleke mahali
๐๐๐Washawishi walete ng'ombe tukafuge zetu ๐
Kwani ya Selikavu na cocastic imeishia wapi mshenga๐ ๐Nipo hapa ndugu yangu, maandalizi ya sherehe yanaendelea usiwe na shaka ndugu ๐๐๐
Ila mwali nasikia anataka ng'ombe, tutatoa wapi ng'ombe ๐ ๐Nipo hapa ndugu yangu, maandalizi ya sherehe yanaendelea usiwe na shaka ndugu ๐๐๐
Ipo mbona siye familiya tunataka tuziunganishe zote mbili kwa pamona shemeji ๐Kwani ya Selikavu na cocastic imeishia wapi mshenga๐ ๐
Pambaneni mtoe hata ng'ombe sabini hapo ๐๐๐Ila mwali nasikia anataka ng'ombe, tutatoa wapi ng'ombe ๐ ๐
Ng'ombe zitapatikana tu ndugu yangu wala hakuna shida ๐Ila mwali nasikia anataka ng'ombe, tutatoa wapi ng'ombe ๐ ๐
dosho12 kwani huyu kijana mbona anakomalia sana au ni mjomba wa bi harusi ๐๐๐Pambaneni mtoe hata ng'ombe sabini hapo ๐๐๐
Nawatisha tu me binamu Nataka nitajirike kupitia dada angu ๐ ๐ ๐๐๐ itakuwa, anasubiri siku ya kumchukua mwali atuzuie mlangoni ๐
Haya andaeni hao ng'ombe na vimbuzi kidogo๐ ๐Ipo mbona siye familiya tunataka tuziunganishe zote mbili kwa pamona shemeji ๐