Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Harmful binamu unaenda kuharibu sasa tukose hizo ng'ombe๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Kawivu kambali ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ me naondoka ndoa ipite salama halafu huyo mwamba umeendana naye

Ila siku ya harusi usivae viatu virefu ili uweze kukimbia me nitakuja na gari

Harusi njema binamu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kamati inapitia hizi comments kwa uchambuzi wa kina ๐Ÿ˜‚

Mkijichanganya tutawafurahisha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom