To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,518
- 38,854
Ndiyo mkuuSure, umemaliza shule ?
Ndiyo mkuuSure, umemaliza shule ?
Tarehe 2 mwezi wa 9 namaliza mimi, nikulewa mpaka kuzima🤣🤣🤣Ndiyo mkuu
Hongera sana mkuu....kulewa umechagua fungu jema kabisa....Tarehe 2 mwezi wa 9 namaliza mimi, nikulewa mpaka kuzima🤣🤣🤣
To ye , huwa una akili mingi sana mamaHongera sana mkuu....kulewa umechagua fungu jema kabisa....
Nikutakie jioni njema
Kwakweli mtakuwa mmetusaidia sana sisi kama familia.Tutamloga we muache hatujui wakinga..!! 😹😹😹
Uje na first aid kit, ambulance na daktari wa kumcheki kama yuko hai.Naomba niwe promota wa pambano
Mwenzako hapa mtaani kuna jamaa anaitwa ayubu huyu jamaa ananifundisha karate..
Mambo ni 🔥 🔥 🔥Atakuja kukupa mualiko 😂
Mkuu mbona kama hizi zote ni njemba 😄 🤣
Sawa mkuuJichanganye utajua waifu material ni nani 😂
Mkuu nipo.
Mambo waifu🤭Akija msalimie😇😅
waifu material njoo sasa ndugu yangu katia maguu.Mkuu nipo.
Kwamba wakati yeye anaingia humu wewe hukuwepo? 😂
Tunapishana sana na Leo sijagusa jf kabisa.Atakuwa yupo bize na ujenzi wa taifa😂😂
waifu material you're needed 😂Mambo waifu🤭
Atakuja fam, twenzetu nyumbani kwanza tukajadili kuhusu treasure link.Tunapishana sana na Leo sijagusa jf kabisa.
Sawa mkuu.Atakuja fam, twenzetu nyumbani kwanza tukajadili kuhusu treasure link.
Poa Eddo unaendeleaje?Mambo waifu🤭
Nimefika shemeji 😅waifu material you're needed 😂