Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Wifi yako yupo mahali ametulia tuliiii!!!!!!! hana miluzi mingi, siku namtoa kwenye marakatasi utamuona!Aaaah jamani🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Dogo hebu kuwa serious basi!
Wifi yako yupo mahali ametulia tuliiii!!!!!!! hana miluzi mingi, siku namtoa kwenye marakatasi utamuona!Aaaah jamani🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Dogo hebu kuwa serious basi!
Mtaam anapatikana huku kjjnShem darling nisaidie kupata mtaalamu.
Tulia kwa mume mwezi usiishe uanze kula udongo, mashem na kina mamkubwa tunataka kumuona SK jr 😹😹😹😂😂😂😂😂😂 wee uduguuu, sasa itakuajee?
Da Mau anachagua wa kuchamba kanichekesha ila 😹😹😹😂😂😂😂
😹😹😹 Yeye anajitoa kwann??Kwanini isiwe mimi na wewe?
Huyo alishanikataaga, nilijitosa kwenye kinyang'anyiro nikatoswa.😹😹😹 Yeye anajitoa kwann??
Eti Vishu Mtata wewe huitaki pisi ya kidaktari?
salama kabisa kipenziUmeamkaje baby?
sawa mpenziHapana, huyo ni mdogo wangu, hivyo ni shemeji yako
Kwamba wakati yeye anaingia humu wewe hukuwepo? 😂Tumeonana wapi jamani😅😅
Nilikuwa nimetoka🤣Kwamba wakati yeye anaingia humu wewe hukuwepo? 😂
Atakuwa yupo bize na ujenzi wa taifa😂😂
Hata najali sasa,ipo sikuMwanakwenda
Ole wako nisiwe mimi ntakurogaWifi yako yupo mahali ametulia tuliiii!!!!!!! hana miluzi mingi, siku namtoa kwenye marakatasi utamuona!