Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Utashona shati la kijora usijali 😹😹Funga vya mtandio ili mjifunge na kibwaya 😂
Utashona shati la kijora usijali 😹😹Funga vya mtandio ili mjifunge na kibwaya 😂
Kwa kutumia kigezo gani?? 😄😄
Harmful score hii kwenda juu, naona kabisa ndugu zangu mna mambo mengi nyuma ya pazia mnanificha.😂😂 Nitaua mtu
Ndio nani huyo waifu material jina linaeleza yaliyomo yamoEdo kissy na waifu material ??? Mmmh!! Ngoja tuone 😂
Heee yaani ivi mnajuaje mpole wakuu😂
Ebu tuone🤔Nimepitia uzi vizuri naona kwenye familiya yangu ni mmoja tu ndo ametajwa sana dosho12
Joanah na Lamomy naombeni mnisaidie kwa hawa ndugu zangu nao wapate hata wa kuwalia hizo pesa za saidia fundi.
👇👇👇
Selikavu
Edo kissy
Kuhusu Intelligent businessman sina shaka nae ila nina wasiwasi na TheNomad maana nae hakutuletea mrejesho kama amepata wakuendana nae.
Khalas 😂
😂😂😂😂Ndio nani huyo waifu material jina linaeleza yaliyomo yamo
A a.. em ngoja kwanza, kwahiyo huyo mke alokabidhiwa si ndio huyo hapo juu!😂😂😂Kaka ulikuwa mbali sana huyo bwana amekabidhiwa mke na ndugu wa mke halafu dosho12 mtu akileta ujinga kwenye Jimbo lako tutag tukamshambulie kwa pamoja 😂🤣🤣
Ndiyo huyo halafu mtoto mwenyewe kaelewa hana makando kando daah Raha naona mieA a.. em ngoja kwanza, kwahiyo huyo mke alokabidhiwa si ndio huyo hapo juu!
😂😂😂😂Kitu gani uduguu em samaraizi 😹😹😹
Ninae na ninatamba nae, 😂😂😂😂Ndo hivyo komaa na SK 😹😹😹
😂😂😂😂We nawe umezidi kuzubaa em mchambe akanywe dawa zake 😹😹😹
Eh haya bhana wacha tusubiri mwaliko.Ndiyo huyo halafu mtoto mwenyewe kaelewa hana makando kando daah Raha naona mie
Thank you shem shem, gudi naiti too
ID yako ya mwanzo ulikuwa nani nihakikishe 😊😊😊😊Nipo ila nilibadili jina la ID
Basi sio wewe 😀😀😀😀
Ma babe kesho kutwa mbali Si tuoane keshoThank you shem shem, gudi naiti too