Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Wewe unaendana na kila mtu ila nakupa Vincenzo Jr
Wewe huendani nakila mnyama ?? Hii ni dharau sio maoni kwanza tukiangalia mie nawewe nani anaendana nakila takataka ya humu siwewe maana hujielewi unamtaka nani humu vibabu ,vijana yaani kwa ujumla kila mtu kagonga unaona hadi umemakiwa tiki ya blue yaani wewe ni wapekee kabisaa
 
Sawa.
 
DLS game la watoto wa shule, halikufai shemeji ๐Ÿ˜‚

Tutamchangia tu sisi kwenye familiya yetu huwa hatutengani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

SK nimeweka msisitizo(bold) kwenye neno la shemeji ๐Ÿ˜‚

Selikavu
Mejiii najihisi niko mikono salamaa, sio kwa mapokezi haya ktk familia yenu.

Selikavu Wee ba tamu! SK akee, puyanga huko uwezavyo niko nyumbani kwako nakusubiri.

Nasemajee hatuachaniii, waambie Ex zako ushakua na mtu rasmi tena halali, na ndunguzo wanamjua.

Aririiiiiiiii!!
 
Wewe huendani nakila mnyama ?? Hii ni dharau sio maoni kwanza tukiangalia mie nawewe nani anaendana nakila takataka ya humu siwewe maana hujielewi unamtaka nani humu vibabu ,vijana yaani kwa ujumla kila mtu kagonga unaona hadi umemakiwa tiki ya blue yaani wewe ni wapekee kabisaa
Jamani da Mau nini tena? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Back
Top Bottom