Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Jamaniii sa itakuajee? Au mie nibaki na DLS.
Nisimtie hasara ba tamu angu, nampendaaa atiii.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
DLS game la watoto wa shule, halikufai shemeji πŸ˜‚

Tutamchangia tu sisi kwenye familiya yetu huwa hatutengani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

SK nimeweka msisitizo(bold) kwenye neno la shemeji πŸ˜‚

Selikavu
 
Back
Top Bottom