Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Zemanda/ Natafuta Ajira hawa wanaenda zaidi na Jadda hakika ndoa kati ya hizi couple itakuwa ni mfano wa kuigwa.
Mimi sina cha kusema zaidi ya kukubali haya mapendekezo, Jadda akiwa wa ubani nitamtunza bila shida na ugomvi utakuwa hapa JF tu ila huko ndani ni mabusu,mahug,mahaba kwenda mbele muda wote atarembua akinitazama.

Naomba kusindikiza salamu na kibao kinaochotwa "Miss right" ambacho kimeimbwa na msaani "Ne-Yo" kimfikie jadda wangu popote alipo.
 
Mpaka kifo kitutenganishe 😘😘😘
😘😘😘🥰🥰🥰🤩🤩🤩😍😍😍😍😍
5c5fac16-d77b-44fb-9642-cc2b6252fa49.jpeg
c6879d8b-712c-4719-b8fa-1ad61dc4122f.jpeg
 
Mkuu unauhakika hao wengine ni mademu kweli au sio unapangalia couple kumbe ni madume tupu
 
Back
Top Bottom