Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Hata bikon hujaweka 😹😹😹🤣🤣🤣🤣 kwahiyo hukuona hata mchanga na mawe!!
Hata bikon hujaweka 😹😹😹🤣🤣🤣🤣 kwahiyo hukuona hata mchanga na mawe!!
😹😹😹Woyoooooooo!!!! 😂😂😂😂
😹😹😹 Bi harusi tulia chumba chako tushapangisha wewe kalale uchi kwa mumeo..!!Uduguuuu em leta 🎤, ushalewa wee.
😂😂😂😂😂😂
Nunua account wewe 😂😃😃😃Unafikiri wanapatikana tuu nacheza hili game kwa miezi sita hapo nina messi tuu😃😃
😃😃😃Mtaje 😃Kuna kijana nilikuwa namkubali sana huku sijui alienda wapi jamani.....Sema unaweza kuunganisha ID kumbe ni mtu mmoja humu
Muimba SINGELI mwezako Nishaandaa na suti kabisa bestman 😂dosho12 mwambie kaka etu kuwa naoa kesho kutwa asiniharibie ndoa 😂😂😂
Wawili na kamchepuko shem.Kuliko kuchepuka Bora uwe na wanaume wawili Hali shem
Humu tu 😂Woyooooooo!!! 😂😂😂😂😂
Hizo hizo.Hela zenyewe hizi za ngamaa
Sijui alishabadilishaga ID au vipi ila miaka ya zamani alikuwa anajiita something like jina la mnyama fulani. Nilivutiwa nae tuu jinsi alikuwa anajiweka classy.😃😃😃Mtaje 😃
Oya SK, Selikavu tunaenda kwa Balle au kwa Silvester kuchukua account ya shemeji? 😂Nakuaminiaaaa mejiiii, 😂😂😂😂
Walahi sio mie kweli 😎Sijui alishabadilishaga ID au vipi ila miaka ya zamani alikuwa anajiita something like jina la mnyama fulani. Nilivutiwa nae tuu jinsi alikuwa anajiweka classy.
Ukipoa watakupanda kichwani, hilo haliwezekani kabisa 😂Eti mejiii anaopoajeee? Ni kuchachukaaa mwaaa mwiiiii.
😂😂😂😂😂
😅 itakuwa ni wewe kaka nimeanza kukumbukaWalahi sio mie kweli 😎
Kumekucha.......kwani ulikuwa unajiita nani 😂😂😂😂😂Walahi sio mie kweli 😎
Ingawa personalities zenu zipo tofauti yeye alikuwa yupo sana nyuzi za usiriaziWalahi sio mie kweli 😎