The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Wala sihitaji kukuhakikishia kitu chochote wala kuprove anything,ID yako ya mwanzo ulikuwa nani nihakikishe 😊😊😊😊
Good luck and all the best.
Wala sihitaji kukuhakikishia kitu chochote wala kuprove anything,ID yako ya mwanzo ulikuwa nani nihakikishe 😊😊😊😊
Si unanijua me mbappe wiki ijayo naamia kwengine 🤣😂
Kweli kabisa, tufanye usiku huuMa babe kesho kutwa mbali Si tuoane kesho
☺️☺️☺️Ndo maana aunty kanichagulia ww😂 hayo ndio mahaba sasa, na jela tunaenda wote , wazungu watatengeneza movie kutokana na maisha yetu 😅😅
Kwanini isiwe mimi na wewe?
Muimba SINGELI na dosho12 njoeni mnifungishe ndoa usiku huu sitaki kupoteza mtoto mkaliKweli kabisa, tufanye usiku huu
Acha mambo mengi mkuu tulia na huyo mwanadada.Si unanijua me mbappe wiki ijayo naamia kwengine 🤣😂
🤔 duh! Mkuu tusubiri hata asubuhi basi, huu usiku shehe au mchungaji tutamtoa wapi!!Muimba SINGELI na dosho12 njoeni mnifungishe ndoa usiku huu sitaki kupoteza mtoto mkali
Nina mzuka na ndoa🤔 duh! Mkuu tusubiri hata asubuhi basi, huu usiku shehe au mchungaji tutamtoa wapi!!
Mtumeeeee😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🤣🤣🤣🤣🥱
Sawa mkuu, lakini tusubiri pakuche kwanza.Nina mzuka na ndoa
🙌🙌🙌🙌🙌Mume gani anakaa porini muda wote km baboon 😹😹😹
Asiyekuwepo na lake halipo 😹
Baasi.Tutakupiga tukuue shem.
Wachaa wee 😄😀
Ndugu Una macho saana ndugu yangu...
nusu muamerika anafukuzia na yeye au