Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Mejiii najihisi niko mikono salamaa, sio kwa mapokezi haya ktk familia yenu.

Selikavu Wee ba tamu! SK akee, puyanga huko uwezavyo niko nyumbani kwako nakusubiri.

Nasemajee hatuachaniii, waambie Ex zako ushakua na mtu rasmi tena halali, na ndunguzo wanamjua.

Aririiiiiiiii!!
He'll never walk alone. 😂

Shemeji sikupingi kabisa, huna baya 😂

Selikavu (SK)
 
Back
Top Bottom