Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Familiya kwani hutaki tuongezeke? 😂Mstaarabu? Wadau wenzake kina Razorblade wana maoni tofauti 🤦♀️😂
Familiya kwani hutaki tuongezeke? 😂Mstaarabu? Wadau wenzake kina Razorblade wana maoni tofauti 🤦♀️😂
Ndugu yetu mstaarabu bhana acha ajichukulie toto zurizuri 😂Usiwaponze wenzio wakaja kuishia kwenye magunia ya mkaa
😹😹😹 Ndiomana namlinda shem asikimbie😂😂 Eeeeh we nawe wajameni mi wakunyumba lakini
niseme tu asante,ila ananikataa kwanguvu mnooo😹😹😹 Ndiomana namlinda shem asikimbie
Mbona unamtisha mie ni binti mpole na mstaarabu shemeji Razorblade anajua hilo😅😅Jichanganye utajua waifu material ni nani 😂
Wameniambia ni mstaarabu sana😅😅Mstaarabu? Wadau wenzake kina Razorblade wana maoni tofauti 🤦♀️😂
Ndoa ilipita salama kabisa, we are officially Mr and Mrs Harmful and Dangerous 😀😀Muimba SINGELI na dosho12 njoeni mnifungishe ndoa usiku huu sitaki kupoteza mtoto mkali
😹😹😹 Aache visingizio, hajui tembo mzuri kumtazama akiwa mbugani..!!Anasema hataki english figure anataka wowowo 😭
😹😹😹 Jaribu tenaHuyo alishanikataaga, nilijitosa kwenye kinyang'anyiro nikatoswa.
Usikubali kuwa km Zuchu wa kunyumba 😹😹niseme tu asante,ila ananikataa kwanguvu mnooo
Yeah mke wangu kilichobaki kuwaaisha wakina junior shule tu 😅Ndoa ilipita salama kabisa, we are officially Mr and Mrs Harmful and Dangerous 😀😀
Hajaona sasa usimwambie 😂Hii akiona comrade itakuwaje? 😂
😂😂Sawa tuongezeke lakini huoni hatari ya hawa watu kuwa pamoja?Familiya kwani hutaki tuongezeke? 😂
Gunia za mkaa loading....😂Wameniambia ni mstaarabu sana😅😅
MC kwenye MIC test 😂Yeaaaahhhh 🎤😹
Ngoja tuone!kwamba itanifanya nini io nyumba ya sanaa.....
Ila vishu kuna siku tutazichapa humu live live aiseeeeeePoor Brain na mwanamke yeyote kuanzia miaka 45.
Kiranga unorthodox....Ila si kwa Faizafoxy mkuu.
Hapo utakuwa unanichokoza tu.
Yani Faizafoxy kabisa?
Naomba niwe promota wa pambanoIla vishu kuna siku tutazichapa humu live live aiseeeeee