Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Huyu jamaa kila siku anajua kusema mm natoka na wamama an kila kukicha mkuu mpaka watt wa 2k wananiona mimi jau an 😭😭😭😭Naomba niwe promota wa pambano
😀😃😃😃😃😃Huyu jamaa kila siku anajua kusema mm natoka na wamama an kila kukicha mkuu mpaka watt wa 2k wananiona mimi jau an 😭😭😭😭
Na yeyote 😎Vincenzo Jr na #""@_###&#
Pombe au movies chagua kimojaNa yeyote 😎
Matching me with Faizafoxy should be a crime against humanity.Kiranga unorthodox....
😃😃😃😃😃😃 Inamana utaki toto la kiarabu hilo
Bora movie 🎥 🍿 juzi nililipia savannah unlimited bando nimedownload movie kibao zile latest kabisaPombe au movies chagua kimoja
😃😀Crime against humanity 😃Matching me with Faizafoxy should be a crime against humanity.
Nawatafuta ICC wafungue kesi The Hague 😂😂😂.
Wamekukosea mnoo mnooo 😃😃😃😃😃Matching me with Faizafoxy should be a crime against humanity.
Nawatafuta ICC wafungue kesi The Hague 😂😂😂.
Mkuu nakukuta wapi na hii external yangu 500GB niliyoibebaBora movie 🎥 🍿 juzi nililipia savannah unlimited bando nimedownload movie kibao zile latest kabisa
Tupige kwa mkupuo mapacha 4, tumalize😀🏃♀️Yeah mke wangu kilichobaki kuwaaisha wakina junior shule tu 😅
Yani wanawake wote hawa unaenda kunipanga na Faizafoxy?Wamekukosea mnoo mnooo 😃😃😃😃😃
Wewe unatakaje sasa mkuu maana mpaka watu wamekuachagulia wameon kabisa mna chemistry
Hiyo mimba Sibebi Mimi ujue kama upo tyr hamna shida tupige hata saba hiviTupige kwa mkupuo mapacha 4, tumalize😀🏃♀️
😳😳😳😳😳😳Umekuwa mnyimi sana siku za karibuni, unataka niishije!!
Wewe naona unatutania, tutaingia kazini wenyewe🤣🤣Wifi yako yupo mahali ametulia tuliiii!!!!!!! hana miluzi mingi, siku namtoa kwenye marakatasi utamuona!
🤣🤣🤣 shem utapeli hujaacha tu!!!Mtaam anapatikana huku kjjn
Amesema tuma pesa hapo Kwa wakala chap tupate jogooo dume kufanikisha zoezi
Hakikisha kabla ya reply pesa imefika
Namba ni Ile ile