Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Mwanzoni nilikudhania tofauti ila nilipoona baadhi ya comments zako huku na selfika....nikasema hapana...huyu siyo yule mwanaume niliyedhania kuwa. Kiufupi upo UNIQUE na tabia zako mpya 😏
Hahahahahaha nabadilika kulingana na hali husika , ila kuna vitu kama siwezi badilika.
 
Back
Top Bottom