Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

😂😂Sawa tuongezeke lakini huoni hatari ya hawa watu kuwa pamoja?
Mbona nimemtahadharisha mapema sana, akijifanya mjuaji sana hatutohusika kwa lolote 😂

Akae makini na kufatilia story za watu wapole ili asiingie kichwa kichwa, asipokuwa na fujo wataendana sana 😂😂😂
 
Back
Top Bottom