Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 4,910
- 12,926
Mchuchu😚,Sawa mchumba nitamuonya aache hii tabia mara moja ☺️
Mchuchu😚,Sawa mchumba nitamuonya aache hii tabia mara moja ☺️
🤣🤣🤣 wewe jifanye kanjanja.Sijasema kitu
Najifanyaje sasa dipre🤣🤣🤣 wewe jifanye kanjanja.
Mie nakuita umsalimie shemeji yako, wewe unaanzisha vita!!Najifanyaje sasa dipre
Yupi sasa ushanichanganya ujue, upo wapi wikendi hii ?Mie nakuita umsalimie shemeji yako, wewe unaanzisha vita!!
Si unaona sasa ulivyo mgomvi🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️Yupi sasa ushanichanganya ujue,
Nipo natafuta kausha damu yenye unafuu.upo wapi wikendi hii ?
Mtaje najua ni mmoja, mtaje hata rohoni nitasikia😂Si unaona sasa ulivyo mgomvi🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Kausha dam watafuta tarehe 30, je ikifika tarehe 12? Dipresheni ziko nawe sako kwa bako 😂Nipo natafuta kausha damu yenye unafuu
Sitaki, niache🤣🤣🤣Mtaje najua ni mmoja, mtaje hata rohoni nitasikia😂
Yaani acha kabisa😭😭😭Kausha dam watafuta tarehe 30, je ikifika tarehe 12? Dipresheni ziko nawe sako kwa bako 😂
Mh! Kweli shem☺️Ndoa hukosi ila furaha itazidi 😂
Abee mchumba🤭Mchuchu😚,
Upo aje? Weekend tunaishije nipe ratibaa mapema😂Abee mchumba🤭
Karibu mbezi🫠Upo aje? Weekend tunaishije nipe ratibaa mapema😂
Nishakaribia mchuchu 😚Karibu mbezi🫠
Na badoSitaki, niache🤣🤣🤣
Yaani acha kabisa😭😭😭
HP anavuruga akili za watu, huelewi ukasirike au uchukie.Duh maneno ya HP yamenivuruga
Anyway 😂
Hatuna baya sisi.Mh! Kweli shem☺️
Karibu mbezi🫠
Kaka usisahau sheria chache za familiya:- 😂Nishakaribia mchuchu 😚
Hyo ya pili nahisi hakuna shida waifu material mwenyewe alishaleta uzi kuwa hapendi mwanaume aje kwake kama halipi kodi 😂😂Kaka usisahau sheria chache za familiya:- 😂
1)Hatutumi nauli
-Atakuja kupewa akifika ghetto.
2)Hatuendi ghetto la mwanamke
-Isipokuwa kwa dharula
Intelligent businessman Selikavu dosho12
Hujaona kwamba ameanza kumkaribisha ndugu yetu? 😂Hyo ya pili nahisi hakuna shida waifu material mwenyewe alishaleta uzi kuwa hapendi mwanaume aje kwake kama halipi kodi 😂😂