Latent chaos
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,515
- 3,141
😂 kwa hyo Edo kashaanza kuhudumia au ana bahati 😅Hujaona kwamba ameanza kumkaribisha ndugu yetu? 😂
Shindwaaaaaa!Na bado
🤣🤣🤣shemeji mbona una kabia juu sana jamaniKaka usisahau sheria chache za familiya:- 😂
1)Hatutumi nauli
-Atakuja kupewa akifika ghetto.
2)Hatuendi ghetto la mwanamke
-Isipokuwa kwa dharula
Intelligent businessman Selikavu dosho12
🤣🤣🤣heeee jamani shemejiHyo ya pili nahisi hakuna shida waifu material mwenyewe alishaleta uzi kuwa hapendi mwanaume aje kwake kama halipi kodi 😂😂
Namkaribisha kanisani kwetu mbezi siyo nyumbani 😅😅Hujaona kwamba ameanza kumkaribisha ndugu yetu? 😂
So niwe naanza kukuCC kama akina Mahondaw au mahusiano ya JF yanaanzaje? 😂🤣
Asante 😂Hata km ya mkeka muhimu ndoa ipite..!! 😹
Sio Siri coca sijalala ,nawaza Mimi nimeumia hivi wenye baba yao,mume ,mjomba ,bamdogo....🥲🥲HP anavuruga akili za watu, huelewi ukasirike au uchukie.
Lol
Ila Mange nae kutonesha kidonda watu Leo.Sio Siri coca sijalala ,nawaza Mimi nimeumia hivi wenye baba yao,mume ,mjomba ,bamdogo....🥲🥲
Asubuhi Tena mange ndo kabisa kanimaliza
Maana ht ye anaongea mpk anataka kulia 🙌🙌
Bila shaka sheria anaijua kuwa hapaswi kuhudumia kabla hajamfikisha ghetto 😂😂 kwa hyo Edo kashaanza kuhudumia au ana bahati 😅
Rejea ya uzi wako, halafu unamkaribisha ndugu yetu ili uje umtangaze? 😂🤣🤣🤣shemeji mbona una kabia juu sana jamani
Michezo hii 😂Namkaribisha kanisani kwetu mbezi siyo nyumbani 😅😅
Yaani hii nchi ht riz hakuwa hivi too muchIla Mange nae kutonesha kidonda watu Leo.
😢😢😢😢
Jah atusaidie kwa kweli.
Shemu hatuaminiani😅😅Michezo hii 😂
Huchelewi kuleta uzi wewe 😂Shemu hatuaminiani😅😅
Dah! Jamani zinakuwaga chai zile ujue😂😂Huchelewi kuleta uzi wewe 😂
Tutaaminije? 😂Dah! Jamani zinakuwaga chai zile ujue😂😂