Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Haijawai tokeaShindwaaaaaa!
Haijawai tokeaShindwaaaaaa!
Amini shemeji mimi sina hizo tabia mbaya🥲Tutaaminije? 😂
Nenda kanisani upunguze dhambi.Haijawai tokea
Humfrey Polepole na EvelynsaltMimi ni shabiki mkubwa wa wanachama wa hili jukwaa. Muda mwingi nawasoma kimya kimya....
Sasa fikiria ile couple inayotikisa mtaa...inaweza kuwepo hapa JF sema tu baadhi ya wanachama hawajakutana. Wanachama gani unadhani wangepeana chance wanaweza kutengeneza the hottest couple hapa jukwaani?
Binafsi nadhani GENTAMYCINE na Numbisa wakipeana wakati nadhani hakuna couple inayoweza kuisogelea hii couple. Makelele yote ya huyu member wa kiume[???] Yangetulizwa na mdada[???].
Yaan kwa kwelii.Yaani hii nchi ht riz hakuwa hivi too much
Sawa kula maisha na ndugu yangu.Amini shemeji mimi sina hizo tabia mbaya🥲
Naona safari hii tutakufa na mawazo😂🙌Yaan kwa kwelii.
😂😂😂😂😂😂Naona safari hii tutakufa na mawazo😂🙌
Mange Leo tena kaachia kitu
Hakya mama tz huu mwaka tusipoamka ndo basi Tena
Sawa shem huna baya, chukua maua yako😅😅Sawa kula maisha na ndugu yangu.
Kuna sehemu nakuona unaleta michezo, tupo kwenye uchunguzi 😂Sawa shem huna baya, chukua maua yako😅😅
Sehemu gani hiyo shemu mbona unanitisha sasa🥲😮💨Kuna sehemu nakuona unaleta michezo, tupo kwenye uchunguzi 😂
Kuwa na amani shemeji 😂Sehemu gani hiyo shemu mbona unanitisha sasa🥲😮💨
Nakumbuka mkuu kila asubuhi huwa nazisoma kwenye katiba😂Kaka usisahau sheria chache za familiya:- 😂
1)Hatutumi nauli
-Atakuja kupewa akifika ghetto.
2)Hatuendi ghetto la mwanamke
-Isipokuwa kwa dharula
Intelligent businessman Selikavu dosho12
Mambo waifu.Sehemu gani hiyo shemu mbona unanitisha sasa🥲😮💨
Safi mchumba za wewe☺️Mambo waifu.
Hizo ni muhimu kuliko kula 😂Nakumbuka mkuu kila asubuhi huwa nazisoma kwenye katiba😂
Bado hujasemaHP anavuruga akili za watu, huelewi ukasirike au uchukie.
Lol
Kabisa kakaHizo ni muhimu kuliko kula 😂
Nzuri Sana, siku ilikuwaje?Safi mchumba za wewe☺️
Khalas 😂Kabisa kaka