😂😂😂😂Niupate wap namfurahisha tu 😂😂
Umemaliza kila kitu fam📌😂Kamati inapitia hizi comments kwa uchambuzi wa kina 😂
Mkijichanganya tutawafurahisha 😂😂😂
🤣🤣🤣heeeeh! Jamani mbona binamu anataka nikose ndoaKamati inapitia hizi comments kwa uchambuzi wa kina 😂
Mkijichanganya tutawafurahisha 😂😂😂
Hamna bebi usimsikilize huyo binamu yangu anapenda utani tu muda wote😅😅Umemaliza kila kitu fam📌😂
Sijasema kituUnataka kusemaje?
😊Kaone!
Duh maneno ya HP yamenivuruga😂😂😂😂
Asivuke mipaka mwambie, maana shemeji zako watambadilikia😂Hamna bebi usimsikilize huyo binamu yangu anapenda utani tu muda wote😅😅
Mpaka hapo couple imepooza
Nani sasa, mimi au wewe? 😁Halafu huyu atakuwa manyau nyau tu ananizingua hapa 😹😹
Daah docta kamkataa muhuniMpaka hapo couple imepooza
Sawa mchumba nitamuonya aache hii tabia mara moja ☺️Asivuke mipaka mwambie, maana shemeji zako watambadilikia😂
Kaa kwa kutulia sasa 😂😂😂😂 Upelelezi wa nini wakati me nimetulia ili ndoa ipite salama
Hatupoi, hatuboi 😂Umemaliza kila kitu fam📌😂
Ndoa hukosi ila furaha itazidi 😂🤣🤣🤣heeeeh! Jamani mbona binamu anataka nikose ndoa
😂Mbna hivo jmnNdio uniite "mkuu"? Daah nitabadilisha couple tu
Hata numbisa anashangaa huko aliko😝😝Mimi ni shabiki mkubwa wa wanachama wa hili jukwaa. Muda mwingi nawasoma kimya kimya....
Sasa fikiria ile couple inayotikisa mtaa...inaweza kuwepo hapa JF sema tu baadhi ya wanachama hawajakutana. Wanachama gani unadhani wangepeana chance wanaweza kutengeneza the hottest couple hapa jukwaani?
Binafsi nadhani GENTAMYCINE na Numbisa wakipeana wakati nadhani hakuna couple inayoweza kuisogelea hii couple. Makelele yote ya huyu member wa kiume[???] Yangetulizwa na mdada[???].