Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Kwenye familiya yetu mapenzi siyo kitu cha umuhimu πUkinijua familia yenu yote Italia mume atajinyonga ππππππ
Kwenye familiya yetu mapenzi siyo kitu cha umuhimu πUkinijua familia yenu yote Italia mume atajinyonga ππππππ
Akizuia tunatishia kuondoka kwa sauti, bi harusi hawezi vumilia πππ itakuwa, anasubiri siku ya kumchukua mwali atuzuie mlangoni π
Mbona kama mnataka kughairi hebu leteni ng'ombe hao hili jambo lipite haraka πππKwenye familiya yetu mapenzi siyo kitu cha umuhimu π
Utajiri kwa majobless pro max unaupatia wapi? πππNawatisha tu me binamu Nataka nitajirike kupitia dada angu π π π
Usijali shemeji kikao cha familiya kinaendelea πππHaya andaeni hao ng'ombe na vimbuzi kidogoπ π
Mke mwenyew jobless na nyinyi majobless si watagombaniana remote hao π€£π€£π€£Utaji kwa majobless pro max unaupatia wapi? πππ
Hatuwezi kughairi ila tunawafahamisha tu uhalisia wa familiya yetu πMbona kama mnataka kughairi hebu leteni ng'ombe hao hili jambo lipite haraka πππ
Selikavu Ba tamu twenzetu, jambo lishakua leleleeee.
Mahusiano tunayo, na tunatamba nayooo.
Weraaaaaa weraaaaa!! ππππππ
Mke anapambaniwa, mke anatafutiwa πMke mwenyew jobless na nyinyi majobless si watagombaniana remote hao π€£π€£π€£
Kaone!Kapi hakoπ
Unataka kusemaje?Kutongozwa ni sunnah wenyewe wanasema, changamoto ni kuwakubalia.
Oya we inaonekana una kauli kwenye familia jitahidi ushawishi hata ng'ombe 50 tu πππHatuwezi kughairi ila tunawafahamisha tu uhalisia wa familiya yetu π
Ndiyo maana binamu yangu waifu material kaipenda familia yenu mpaka nyumbani kasema anataka kuozeshwa Bure ila SI tumemkazia tu πππMke anapambaniwa, mke anatafutiwa π
Kwenye familiya yetu tunaishi kijamaa πOya we inaonekana una kauli kwenye familia jitahidi ushawishi hata ng'ombe 50 tu πππ
Utaratibu kwa kuoa bure sisi hatuna πππNdiyo maana binamu yangu waifu material kaipenda familia yenu mpaka nyumbani kasema anataka kuozeshwa Bure ila SI tumemkazia tu πππ
Fanya ushawishi sasa wafike kwenye hao ng'ombe 50 angalau mtoto Bado BK huyu π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kwenye familiya yetu tunaishi kijamaa π
Kuhusu ng'ombe tupo kwenye kikao πππ
Nakubali fanyeni haraka mje kuchukua mke wenu huku tupunguze ratio ya mchele nyumban πππUtaratibu kwa kuoa bure sisi hatuna πππ
Msisitizo umekuwa mkubwa sana, huu unaweza kuwa mtego πNakubali fanyeni haraka mje kuchukua mke wenu huku tupunguze ratio ya mchele nyumban πππ