Au tumuache Atulie sasa hivi atunge ngoma kwanza, watoto watamchanganya πInabidi ila akijua nimemsnitch atalia sana πππ
π
Hivi ni mahali au mahariπππ Mshenga Razorblade upo wapi tupeleke mahali
inabidi iwe hivyo πππme mpaka sasahivi Nina wake 4 JF na michepuko kibaooo πππAu tumuache Atulie sasa hivi atunge ngoma kwanza, watoto watamchanganya π
π ni mahari shemeji, makosa madogo madogo hayoπHivi ni mahali au mahariππ
Wanataka wakupeleke mahali flani πππHivi ni mahali au mahariππ
Hadi nilishtuka sasaπππ ni mahari shemeji, makosa madogo madogo hayoπ
Wanipeleke wapi tena jamani, mi nikajua wanaleta ng'ombe jamaniπ πWanataka wakupeleke mahali flani πππ
Washawishi walete ng'ombe tukafuge zetu πMe nikajua wanaleta ng'ombe jamaniπ π
Nipo hapa ndugu yangu, maandalizi ya sherehe yanaendelea usiwe na shaka ndugu ππππ Mshenga Razorblade upo wapi tupeleke mahali
πππWashawishi walete ng'ombe tukafuge zetu π
Kwani ya Selikavu na cocastic imeishia wapi mshengaπ πNipo hapa ndugu yangu, maandalizi ya sherehe yanaendelea usiwe na shaka ndugu πππ
Ila mwali nasikia anataka ng'ombe, tutatoa wapi ng'ombe π πNipo hapa ndugu yangu, maandalizi ya sherehe yanaendelea usiwe na shaka ndugu πππ
Ipo mbona siye familiya tunataka tuziunganishe zote mbili kwa pamona shemeji πKwani ya Selikavu na cocastic imeishia wapi mshengaπ π
Pambaneni mtoe hata ng'ombe sabini hapo πππIla mwali nasikia anataka ng'ombe, tutatoa wapi ng'ombe π π
Ng'ombe zitapatikana tu ndugu yangu wala hakuna shida πIla mwali nasikia anataka ng'ombe, tutatoa wapi ng'ombe π π
dosho12 kwani huyu kijana mbona anakomalia sana au ni mjomba wa bi harusi πππPambaneni mtoe hata ng'ombe sabini hapo πππ
Nawatisha tu me binamu Nataka nitajirike kupitia dada angu π π πππ itakuwa, anasubiri siku ya kumchukua mwali atuzuie mlangoni π
Haya andaeni hao ng'ombe na vimbuzi kidogoπ πIpo mbona siye familiya tunataka tuziunganishe zote mbili kwa pamona shemeji π