Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

πŸ˜…πŸ˜… Leo dada na rara reree hyo ni couple ya kumwaga likes
Vigezo vimezingatiwa hata hiyo yako itasimama sana mkuu, Lamony ni mtu wa vaibuuuu na wewe versatile, unaweza kuswitch kirahisiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Vigezo vimezingatiwa hata hiyo yako itasimama sana mkuu, Lamony ni mtu wa vaibuuuu na wewe versatile, unaweza kuswitch kirahisiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hyo anapenda hela sana kaka πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimepitia uzi vizuri naona kwenye familiya yangu ni mmoja tu ndo ametajwa sana dosho12

Joanah na Lamomy naombeni mnisaidie kwa hawa ndugu zangu nao wapate hata wa kuwalia hizo pesa za saidia fundi.
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Selikavu
Edo kissy

Kuhusu Intelligent businessman sina shaka nae ila nina wasiwasi na TheNomad maana nae hakutuletea mrejesho kama amepata wakuendana nae.

Khalas πŸ˜‚
 
mzabzab na Binti wa zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…