Members wa JF bwana!!!!

Kama mimi ninavyoonekana kama mvuta sigara Kali kumbe walaaaah sijawahi hata kuionja[emoji41] [emoji41]
 
kazi kwelikweli..ni vyema wakasubiri kwa maana mwisho wa mwezi kwa maana ndio unakaribia au wanaanzaga kupewa tarehe 21, 22,23,24 25 au??
Wafanyakazi wa sasa ni waoga sana mi siku ya mshahara ikifika naenda ofisini kudai sijawahi kuuliza mtu maana najua boss lazima ajue wajibu wake kwangu
 
Hahaha... Yaani huku sifa ni kujisifia....umesahau kitu kimoja WANAUME WA HUKU WOTE WANAJISIFIA KUWA WANA DUSHE/HOGO KUBWAA....huku hakuna mtu ana admit kuwa yeye ni mwanaume wa dar....teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…