myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
ama kweli!!Yaani humu kila mwanaJF anaponda kuajiriwa serikalini, kila mmoja kajiajiri, kila mmoja hana shobo na mshahara wa serikali, kila mmoja wazazi wake wana elimu ya chuo kikuu, kila mmoja kasoma mwenye elimu ya chini ni shahada ya kwanza (tena UDSM).
Kila mtu alishazinguana na askari wa usalama barabarani (traffic) akiwa anaendesha gari lake binafsi.
WanaJF Bwana!
maigizo kila kona...Nikwambie varangati, hata sasa jaribu kupitia "siledi" ambazo zinaulizia mshahara kama umetoka, hahahaha huko ndio utapata jibu! kila mtu kajiajiri anawashangaa wanaoulizia mshahara, haahahahah
wengine tumeukimbia na huo mji wenu Daslam....tupo nanjirinji huku tunalima vitunguu tu.wengine hata baiskeli hatuna
ooohoo.!!!huyo sio wa tabata mkuu. huyu nyumba zake zipo masaki,mikocheni kawe na bahari beach
hahaha nzuri hiyooBasi tuko wawili Jose
kwani mkuu mimi ni wa Dar??wengine tumeukimbia na huo mji wenu Daslam....tupo nanjirinji huku tunalima vitunguu tu.
wewe wa wapi sasa chief...?kwani mkuu mimi ni wa Dar??
Moshi/Arushawewe wa wapi sasa chief...?
hisia zangu zinaniambia ni mtu wa dar,
Hiyo nayo ni moja ya showoff mkuuuKasoro mimi tu Mkuu sinaga izo show off
hahahaaaaa. kweli uko nje ya mada, maana humu wachangiaji hatuifahamu hiyo simu wala hatujawahi kuisikiaSamahani kwa kutoka nje ya mada
Hiv iPhone 8 ishafika bongo , hii s8 plus nimeichoka.
Chalii naona life lipo normal kabisa jfKasoro mimi tu Mkuu sinaga izo show off
Hahaaaa. Tena kaka hao ndio wengi aiseeWengine utasikia Nina gari...nina simu kali...namiliki biashara kubwa... Kumbe hamna kitu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Chukua mawazo yanayo weza kukujenga unayo ona hayakuhusu mwachie mwenyewe
Humu kila mtu anajua kinacho mfanya awepo humu
Humu tupo aina nyingi wapo wasomi, wasomi hewa, wajuaji na wasio jua kabisa
Hahaha hata wewe umeona eeHahaaaa. Tena kaka hao ndio wengi aisee
Hahaaaa. Mdogo wangu nimecheka sana ila ndio hivyo tena.Mmh maskini wee mie tu ndo mteja wa daladala za igoma airport,igoma buhongwa,airport buhongwa,igombe,mzunguko luchelele,maili moja mzunguko,buswelu etc.