Members wa JF bwana!!!!

tehe tehe tehe si ujiongeze we mwenyewe
 
Nilichogundua walio wengi ni wepesi wa kusahau wanavyokuwa wameviandika nyuma na sa sijui wanakuwa hawajui kama tulio wengi tunaona.

Ila kiukweli mwanzoni kaka nilipata sana shida ila sasa hivi. Akaaaaa.
Pole sana Dada, ndio watu walivyo aisee... Huku ukichukulia vitu vingine serious hautaendelea.. Mimi huwa nachukua vitu vya maana kwa faida yangu...Visivyo na maana napotezea tu na maisha yanaendelea
 
Kitendo cha kua na fake id kinaonesha kuwa maisha ya humu co real wala ucjickie vibaya kuwa na pretend life in jf
 
Wewe.. . Kwenye kasri lake la Tabata ni kama machinjio ya Vingunguti. Videmu huwa vinalalamika jamaa ana mashine kama ya punda lakini bado vinapanga foleni kubanduliwa. Pesa ni sabuni ya roho
TABATA kinyerezi [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…