Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Sawa babu akee mieeeBasi yawezekana nilikufananisha... nyagi ya mchana haijawahi kuiacha kumbukumbu yangu salama...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa babu akee mieeeBasi yawezekana nilikufananisha... nyagi ya mchana haijawahi kuiacha kumbukumbu yangu salama...
tehe tehe tehe si ujiongeze we mwenyewenilishawai kukutana na mwanajf mmoja . tulienda hadi home kwake.ile sio nyumba wala mjumba sijui niiteje maana kila chumba kila bafu na gym yake .camera hadi chooni. elimu yake sijui nisemeje .ni super rich. ila huwezi amini humu jf ana post za kipuuzi sijawai ona.unaweza kumkuta hata kwenye post za team mond au kiba na yeye anatukana kule. ukienda mmu kajaa tele .ukienda chit chat ndo usiseme ni ngumu kabiasa kujua huyu jamaa ni mtu anaeheshimika vibaya mno ndani na nje ya nchi. maisha ya jf hayana uhalisia wowote .
miss chagga lara 1 njooni niwape chimbo muachane na shida za dunia
Pole sana Dada, ndio watu walivyo aisee... Huku ukichukulia vitu vingine serious hautaendelea.. Mimi huwa nachukua vitu vya maana kwa faida yangu...Visivyo na maana napotezea tu na maisha yanaendeleaNilichogundua walio wengi ni wepesi wa kusahau wanavyokuwa wameviandika nyuma na sa sijui wanakuwa hawajui kama tulio wengi tunaona.
Ila kiukweli mwanzoni kaka nilipata sana shida ila sasa hivi. Akaaaaa.
Poa mkuu aseeKumbe ni wa R chugaa..!! hongera.
tehe tehe teheWengine utasikia Nina gari...nina simu kali...namiliki biashara kubwa... Kumbe hamna kitu
BabuEndelea hivyohivyo na imani yako...
Sikulazimishi kuniamini... Ila mi nafahamiana naye sana...
Labeka...Babu
Kabisa kaka na hiyo ndio dawa ya humu jf.Pole sana Dada, ndio watu walivyo aisee... Huku ukichukulia vitu vingine serious hautaendelea.. Mimi huwa nachukua vitu vya maana kwa faida yangu...Visivyo na maana napotezea tu na maisha yanaendelea
Natamani sana nikujue...Hivi babu hunijui kweeeli
Nimeshakaribia mjukuu...Hahaaaa. Karibu sana babu.
TABATA kinyerezi [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wewe.. . Kwenye kasri lake la Tabata ni kama machinjio ya Vingunguti. Videmu huwa vinalalamika jamaa ana mashine kama ya punda lakini bado vinapanga foleni kubanduliwa. Pesa ni sabuni ya roho
Mbona hutaki kunnong'oneza bhanaaLabeka...
Ila siku ya kukuona babu nahisi nitaishia kucheka tu maana nitakuwa navikumbuka vituko vyako tu daah.Nimeshakaribia mjukuu...
CC Miss NatafutaTABATA kinyerezi [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Usijali babu akeeNatamani sana nikujue...
Afu hii nimechapia, ilikuwa niandike kwenye thread nyingine...
Humu JF kuna watu mnajuana eeeh?
Ila siku ya kukuona babu nahisi nitaishia kucheka tu maana nitakuwa navikumbuka vituko vyako tu daah.