jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
hahahahaha nilitaka nikuchokoze nione kama wewe ni kati ya wale wanaochukia mapemaCosmetic
Spices nk
big up mkuu and how is you?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaha nilitaka nikuchokoze nione kama wewe ni kati ya wale wanaochukia mapemaCosmetic
Spices nk
Yawezekana zipo ila hawajafunguka! Hata mie sijamfungukia Tantaw naona "aibu" tehe tehe tehe
hahaahahhah, kumbe upo. habari za Ijumaa. hahahaahah. si unakumbuka Shunie ndie aliyenishawishi kukufolo kuleeeeeeeeeeeeeeeee
Hata mie sijaingia huko leo!Nipo majukumuu tu ndio yanabana, Ijumaa ipo salama, sijui kwa upande wako!? Hahahahahahaha Shunie kumbe anaushawishi kama wa mange kimambi!! Kuleee sijaingia siku za karibuni, ngoja nikapachungulie kwanza, hahahahahahaha!!
HAlafu wew inaonesha mchokozihahahahaha nilitaka nikuchokoze nione kama wewe ni kati ya wale wanaochukia mapema
big up mkuu and how is you?
Ndio.Umaskini ni dhambi?[emoji15]
sio sana jaman shemHAlafu wew inaonesha mchokozi
Am good dear you?hahahahaha nilitaka nikuchokoze nione kama wewe ni kati ya wale wanaochukia mapema
big up mkuu and how is you?
hakika hakuna asiyechukia. am gud thanksAm good dear you?
Ukiniudhi nachukia ndio ila sijaona LA kuniudhi hapo
aisee haya mkuuNdio.
Tena inabidi ukemewe kwa nguvu zote.
anhaaa kumbe aisee shemsio sana jaman shem
napenda kujua watu ambao tutaclick huku
teh teh
ambao hawataki utani nawaogopa sana
yes shemanhaaa kumbe aisee shem