Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

hahaha

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwa nini mnaponda tecno wakati inafanya vizuri kwenye soko la Afrika, halafu sioni tofauti kubwa sana kwenye simu za Android

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwa nini mnaponda tecno wakati inafanya vizuri kwenye soko la Afrika, halafu sioni tofauti kubwa sana kwenye simu za Android

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Sitegemei uiponde TECNO hasa TECNO-C8.
 
Jamii forum imekua kama sekondari sasa. Usipovaa kiatu cha guchi au shati la tomato we fala tu. Daah aya bhana

Nokia Jeneza
 
Najivunia kutumia tecno

Sent from my TECNO_P5_PLUS using JamiiForums mobile app
 
Wee unatumia ipi mkuu
 
Kutumia tecno muhimu

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Hizo simu zenu za Galaxy note zinaandika na hii tecno yangu inaadika na ku-comment.Sijaona tofauti kati ya tecno na simu nyingine

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Tecno simu zao ni mbovu sana.... Wanao tumia tecno wengi wao wana roho ngumu sana..

Sent from my Diamond Rose Iphone 32 GB using JamiiForums Mobile App
 
Tecno simu zao ni mbovu sana.... Wanao tumia tecno wengi wao wana roho ngumu sana..

Sent from my Diamond Rose Iphone 32 GB using JamiiForums Mobile App
*Admin samahani nauliza hivi eti sisi wenye simu za iphone7 post zetu tunachanganya na wenye tecno?*
 
Wee unatumia ipi mkuu
Nina Tecno H6 na iPhone 6s plus. Ninajivunia na tecno. Kusema ukweli, sijawahi ona simu cheap na yenye specs nzuri kama hii Tecno H6. iPhone natumia kwenye Picha tu na kuuza sura.

-callmeGhost
 
Mimi situmii sana browser. Ila kwenye app inakuwa kama hivyo[emoji115] [emoji115]

-callmeGhost
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…