Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 881
- 1,033
hahaha
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hivi tucmu kanaitwa instrument of communication, wametudharau sana embu mode ondoa hii makituDuh, hili tusi sasa.
Sitegemei uiponde TECNO hasa TECNO-C8.Hivi kwa nini mnaponda tecno wakati inafanya vizuri kwenye soko la Afrika, halafu sioni tofauti kubwa sana kwenye simu za Android
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Wee unatumia ipi mkuuJamiiForums naona mmeamua kuwachagulia watumiaji wenu signature automatically.
Tecno imeteka soko la Tanzania, maana kila mtu akipost, chini unaona sent from Tecno...[emoji3]
Ushauri kwa wanaotongoza humu na kusema wanatumia iPhone 7, na wanaponda hizi simu zetu; badilisheni signature. Hii ni baada ya mtu kupost anatoa ajira, alafu mdau mmoja akasema na unatymia Tecno X utawezaje kumlipa mshahara[emoji20] .
Conclusion: doctor wangu ana V8, pamoja na Nokia torch.
-callmeGhost
*Admin samahani nauliza hivi eti sisi wenye simu za iphone7 post zetu tunachanganya na wenye tecno?*Tecno simu zao ni mbovu sana.... Wanao tumia tecno wengi wao wana roho ngumu sana..
Sent from my Diamond Rose Iphone 32 GB using JamiiForums Mobile App
Nina Tecno H6 na iPhone 6s plus. Ninajivunia na tecno. Kusema ukweli, sijawahi ona simu cheap na yenye specs nzuri kama hii Tecno H6. iPhone natumia kwenye Picha tu na kuuza sura.Wee unatumia ipi mkuu
Hii unayoongelea ni ukiwa na jamii app kwenye simu au?? Mimi situmii jamii app na nikienda ktk signature eidha hakijaandikwa kitu au naandika mwenyewe!
Sijaelewa kwa undani unaposema signature labda unamaanisha nini!
Kwangu signature ni maneno yako umeandika na kila mtu anayesoma post yako yanakuwa chini kabisa, correct me if iam wrong too!