mensaah
JF-Expert Member
- Sep 12, 2016
- 927
- 1,311
Sio kweli mkuu kuwa na simu ya aina Fulani haimaanishi kujidhalilisha Bali ni huenda muhusika amependa simu ya aina hiyo au ndio alizozizoea hivyo anaona kuwa simu aina nyingine inaweza kumsumbua kutumia hadi azizoeeUkiona uzi hauchangiwi sana ujue wengi wao wanaona aibu kuumbuka na vitekno vyao ..[emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Pia kuwa na simu aina Fulani kwa mfano iPhone haimaanishi ndio una hadhi ya juu ama uwezo mkubwa wa kiuchumi maana anaweza wepo mtu anamiliki nyumba ya maana pamoja na vitega uchumi vingine+ gari la 15-20 million halafu ana Nokia ya tochi au tecno ya 200,0000. Kwa hiyo simu ya gharama haimaanishi ndio uchumi wako uko juu.