Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Members wengi wa JamiiForums ni watumiaji wa Tecno

Ukiona uzi hauchangiwi sana ujue wengi wao wanaona aibu kuumbuka na vitekno vyao ..[emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
Sio kweli mkuu kuwa na simu ya aina Fulani haimaanishi kujidhalilisha Bali ni huenda muhusika amependa simu ya aina hiyo au ndio alizozizoea hivyo anaona kuwa simu aina nyingine inaweza kumsumbua kutumia hadi azizoee

Pia kuwa na simu aina Fulani kwa mfano iPhone haimaanishi ndio una hadhi ya juu ama uwezo mkubwa wa kiuchumi maana anaweza wepo mtu anamiliki nyumba ya maana pamoja na vitega uchumi vingine+ gari la 15-20 million halafu ana Nokia ya tochi au tecno ya 200,0000. Kwa hiyo simu ya gharama haimaanishi ndio uchumi wako uko juu.
 
Sasa tatizo ni nini watu tunatofautiana uwezo na choices, Kuna wengine Wana uwezo kipesa mkubwa sana lakini wanatumia simu za kawaida Kuna wengine wako radhi wakope kununua simu ya bei mbaya, katika maisha watu wanatofautiana vipaumbele au priorities hili haliepukiki

Sent from my C6806 using JamiiForums mobile app
 
Kwani tecno sio simu?

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Ishu sio signature bali ni kama unatumia app ya jamiiforums.
Ebu niambie mimi natumia simu gani? Nina signature pia.
Kwa ujuzi wangu, hii ni signature. Correct me if I am wrong.

Proof, nenda settings, scroll down mpaka signature, utakuta 'none', 'sent from my iPhone 7' na customise. Signature yangu ni 'callmeGhost'.

-callmeGhost
 
Tofauti ipo acha kuongea maneno ya mkosaji. Wewe unasimu ina Ram ya 512mb mwenzio ana ya 4gb. Unadhani mnaweza lingana?

Sema hivi "Kila mbuzi anakula kwa urwfu wa kamba yake."

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Hands down[emoji122]

-callmeGhost
 
Kwa ujuzi wangu, hii ni signature. Correct me if I am wrong.

Proof, nenda settings, scroll down mpaka signature, utakuta 'none', 'sent from my iPhone 7' na customise. Signature yangu ni 'callmeGhost'.

-callmeGhost
Hii unayoongelea ni ukiwa na jamii app kwenye simu au?? Mimi situmii jamii app na nikienda ktk signature eidha hakijaandikwa kitu au naandika mwenyewe!
Sijaelewa kwa undani unaposema signature labda unamaanisha nini!
Kwangu signature ni maneno yako umeandika na kila mtu anayesoma post yako yanakuwa chini kabisa, correct me if iam wrong too!
 
Back
Top Bottom