Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ndo majina ya ajabukuna mtu humu anaitwa Ibilisi
RaymondLangu ndio jina hali nalo litumia
MONDRAY
Hebu lisome kutoka mbele kurudi nyuma, utapata jina flani amazing
Chinedu--- mr flavourWengine ni majina ya kilugha!!! The fact kwamba huelewi maana yake haifanyi yawe majina mabaya. Kizungu si lugha yetu, tuheshimu lugha zetu pia. Yaani nawapenda sana wanaijeria kwa sababu hii! Hawaogopi kumpa mtoto jina la kilugha, na kila mnigeria ana hayo majina wengine tunayaona mabaya.
Mwambie huyo wanataka kuona majina ya kizungu wakati kwetu ileje hatuwajui wazunguWengine ni majina ya kilugha!!! The fact kwamba huelewi maana yake haifanyi yawe majina mabaya. Kizungu si lugha yetu, tuheshimu lugha zetu pia. Yaani nawapenda sana wanaijeria kwa sababu hii! Hawaogopi kumpa mtoto jina la kilugha, na kila mnigeria ana hayo majina wengine tunayaona mabaya.
La kwangu linasomeka hivyo hivyo lilivyo sema we umezoea kukandamiza maneno ndo maana unashindwa kusomaHahaaaaaa hebu leta lako tulinganishe na langu tuone
Hapo shida yako ilikuwa kuzungumzia jina la mndali ndanyelakakomu na inaonekana we ni mvivu wa kutafiti mambo jana nilikwambia mtafute bujibuji akwambie manake ulishindwa kutokana na uvivu ulio naoHahaaaaaa hebu leta lako tulinganishe na langu tuone
Jina lako mtu akikuambia taja spelling zake utaweza kweliHapo shida yako ilikuwa kuzungumzia jina la mndali ndanyelakakomu na inaonekana we ni mvivu wa kutafiti mambo jana nilikwambia mtafute bujibuji akwambie manake ulishindwa kutokana na uvivu ulio nao
Akitangaza mshahara nataja tu ila ofa yangu hujajibuJina lako mtu akikuambia taja spelling zake utaweza kweli
[emoji123] [emoji123] [emoji124]Magobeko, ugweto, igwamagu, matanda ndio mitaa yenu
Ndo jina gumu
Tumuulize mtoa uzi ndio kalitaja pia.Ndo jina gumu