Members wenye majina mabaya JF taja unaowafahamu

Members wenye majina mabaya JF taja unaowafahamu

Wengine ni majina ya kilugha!!! The fact kwamba huelewi maana yake haifanyi yawe majina mabaya. Kizungu si lugha yetu, tuheshimu lugha zetu pia. Yaani nawapenda sana wanaijeria kwa sababu hii! Hawaogopi kumpa mtoto jina la kilugha, na kila mnigeria ana hayo majina wengine tunayaona mabaya.
Chinedu--- mr flavour
Ogabanjo--Baba wa d banj
Adeleke--baba wa davido
Etc
 
Wengine ni majina ya kilugha!!! The fact kwamba huelewi maana yake haifanyi yawe majina mabaya. Kizungu si lugha yetu, tuheshimu lugha zetu pia. Yaani nawapenda sana wanaijeria kwa sababu hii! Hawaogopi kumpa mtoto jina la kilugha, na kila mnigeria ana hayo majina wengine tunayaona mabaya.
Mwambie huyo wanataka kuona majina ya kizungu wakati kwetu ileje hatuwajui wazungu
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hahaaaaaa hebu leta lako tulinganishe na langu tuone
Hapo shida yako ilikuwa kuzungumzia jina la mndali ndanyelakakomu na inaonekana we ni mvivu wa kutafiti mambo jana nilikwambia mtafute bujibuji akwambie manake ulishindwa kutokana na uvivu ulio nao
 
Back
Top Bottom