Members wenye majina mabaya JF taja unaowafahamu

Members wenye majina mabaya JF taja unaowafahamu

Aah naona umenitaja kiuoga ee,acha wivu,majina safi kabisa hayo
Aisee Jamii Forum kuna watu wenye majina mabaya (Fake ID), yaani ukiangalia jina ngumu kama mizizi ya dawa za kienyeji. Mengine majina yana kiima na kiarifu.

>> KABHILABHIGHAMBO
>> CHIKIRA MTABARI
>> Malafyale
>> Mndali ndanyelakakomu
>> Otorong'ong'o
>> Bujibuji
>> nanyupu
<>> Numbisa
Yaani majina mengine bwana tabu tupu!!
Hebu ongezea yakwako unayoyafahamu.........
NB. Hapa ni Chitchat . Povu mwisho la 50
 
Wee acha wivu,potato numby,salty numbissy. Usiniit
Eti limekaaa ki romantic mhuuuum
Sweeet numbie, baby numbisa... Hata havinogi
e majina matam matam bana kisukar hatar
 
Back
Top Bottom