Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee Jamii Forum kuna watu wenye majina mabaya (Fake ID), yaani ukiangalia jina ngumu kama mizizi ya dawa za kienyeji. Mengine majina yana kiima na kiarifu.
>> KABHILABHIGHAMBO
>> CHIKIRA MTABARI
>> Malafyale
>> Mndali ndanyelakakomu
>> Otorong'ong'o
>> Bujibuji
>> nanyupu
<>> Numbisa
Yaani majina mengine bwana tabu tupu!!
Hebu ongezea yakwako unayoyafahamu.........
NB. Hapa ni Chitchat . Povu mwisho la 50
Ka jina kamekaa kiromantic kabisa.
Labda kataman nae awe na uzi wake ili tumkumbukepoNdo jina gumu
Naona mtoa uzi kalitaja ndio umuulize ni gumu?
Kataja kuwa ni gumu ila naona mleta Uzi ni mvivu wa kuelewaNaona mtoa uzi kalitaja ndio umuulize ni gumu?
Huyo jamaa ana jina baya kama yule FIRAUNI!kuna mtu humu anaitwa Ibilisi
Mkuu mwambie kijana hajielewi huyuHapo kasema kimafumbo majina ayapendayo JF
Ka jina kamekaa kiromantic kabisa.
Labda kataman nae awe na uzi wake ili tumkumbukepo
Nadhani hajalielewa kama la kike ama la mana limekaa kama dawa ya mziziKataja kuwa ni gumu ila naona mleta Uzi ni mvivu wa kuelewa
Hewa processedufyudhi...
Nadhani hajalielewa kama la kike ama la mana limekaa kama dawa ya mzizi
Hahaaaa - Natania bana
e majina matam matam bana kisukar hatarEti limekaaa ki romantic mhuuuum
Sweeet numbie, baby numbisa... Hata havinogi
Hili la kiume ila yeye anataka kuonekana hajui kusomaNadhani hajalielewa kama la kike ama la mana limekaa kama dawa ya mzizi
Hahaaaa - Natania bana
Simu ndo nini kwaniSawa bwana sijielewi mm najua kuchaji cm yangu tu